Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
bobi
Mtoto wa marehemu Whitney Houston, aitwaye Bobbi Kristina Brown amekutwa katika hali mbaya nyumbani kwao katika mji wa Georgia jana na kukimbizwa hospitali.

Inasemekana mtoto huyo amekua akitumia madaya ya kulevya ambayo ndiyo yaliyosababisha kifo cha mama yake
Mume wake Nick Gordon alikutwa akiwa na binti huyo na sasa anahojiwa na polisi kuhusiana na Bobbi Kristina.
with mom
Bobbi Kristina Brown akiwa na marehemu mama yakeWhitney Houston
Hata hivyo hakukua na maelezo yoyote kutoka kwa daktari baada ya kutokuwepo na msemaji katika hospitali ya North Fulton alikopelekwa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top