March 19, 2025 07:05:43 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
JuxJux ni jina jingine bongoflevani kwa nyimbo nzuri kama ‘uzuri wako‘ na nyingine zikiwemo kolabo kama ya Young Dee ‘sio mchoyo’
Stori kwenye headlines now ni mjengo alioujenga Jux… ambapo sasa rasmi ameingia kwenye list ya mastaa wa bongo na mijengo yao akiwemo Shilole anaejenga, Diamond Platnumz ambae inaripotiwa anakaribia kuhamia kwake, pia Nay wa Mitego pia anaejenga gorofa wakati Idris Sultan mshindi wa BBA 2014 amehamia kwenye nyumba yake wiki iliyopita.
Jux 1Baada ya Jux kupost picha ya nyumba yake Jux alionyesha furaha yake akitamani kuhamia baada ya kutimiza ndoto zake.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
04 Feb 2015

Post a Comment

 
Top