March 17, 2025 08:33:19 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Bondia mashuhuri nchini muda mfupi uliopita amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.
Bondia-Francis-Cheka
Hiyo ina maana kuwa Cheka anaenda kutumikia kifungo hicho na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake iliyopo huko Morogoro
Hukumu hiyo imetokana na kosa la bondia hiyo kumpiga meneja wake aitwaye Bahati kwenye bar ya vijana social mjini Morogoro July 2 mwaka jana alipoenda kudai fedha zake.
Meneja huyo alilazwa hospitali kufuatia tukio hilo ambapo Cheka alidaiwa kumpiga ngumi. Katika kesi hiyo Cheka alikuwa anakana mashtaka.
Bondia huyo anaenda jela huku akiwa anashikilia mkanda wa dunia wa WBF Super Middleweight.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
02 Feb 2015

Post a Comment

 
Top