Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Hii Leo Barcelona wakiwa  Nyumbani Nou Camp waliichapa Levante Bao 5-0, huku Lionel Messi akipiga Het trick, na kuwakaribia Vinara wa La Liga Real Madrid na sasa wapo Pointi 1 nyuma yao.
Hadi Mapumziko, Barca walikuwa mbele kwa Bao 2-0 kwa Bao za Neymar, Dakika ya 17, na Lionel Messi, Dakika ya 38.
Kipindi cha Pili, Messi aliongeza Bao 2, moja la Penati, na Luis Suarez kupiga 1 na kuwatwanga Levante Bao 5-0.Preview-Barca-thumping.jpgLionel Messi scores his hat trick during an impressive performance in Barcelona's 5-0 win over Levante

MATCH FACTS

Barca XI: Bravo; Montoya, Bartra, Mascherano, Adriano; Busquets, Xavi, Rakitic (Roberto -62); Pedro, Messi, Neymar (Suarez - 67)
Barca subs: ter Stegen, Mathieu, Alba, Pique, Rafinha,
Goals: Neymar 17, Messi 38, 59, 65 (p), Suarez 73
Booked: Busquets
Levante XI: Marino; Ivan Lopez (Jason - 71), Navarro, Ramis, Tono; Diop (Mari - 78), Simao; Xumetra, Barral, Morales; Uche (Victor - 62)
Levante subs: Fernandez, Juanfran, Vyntra, Garcia
Booked: Ramis, Barral


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top