mwili wa mwanamke huyo ukiwa umejeruhiwa vibaya
Mume kahisi anaibiwa kamwita mkewe guest kafanya mambo kisha kammaliza baada ya mkewe kulala kwa kumchinja shingoni, kama haitoshi akamtoa tumbo. Tukio hili limetokea jana jijini Friends Corner, Magomeni Kagera jijini Dar. Jamani tuombeane dunia imebadilika sana.

...kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi hapa tutakujaza zaidi punde tu.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment