April 17, 2025 11:56:07 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kama ulikuwa na mbali na Radio yako ukapitwa na U Heard kwenye XXL ya jana January 30, Soudy Brown alikuwa na story kuhusu tetesi za uhusiano uliopo kati ya Producer wa MJ Records, Marco Chali na staa wa Bongo Movie, Jackline Wolper.

Gossip Cop alimtafuta Jackline Wolper lakini hakupatikana kwenye simu, alipomtafuta Marco Chali alikataa kujibu chochote kuhusu tetesi hizo ila alimjibu Soudy kwamba itabidi amtafute ili wafanye Interview kabisa kuhusu ishu hiyo.

Isikilize U Heard yote kwenye hii sauti hapa, bonyeza play.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
31 Jan 2015

Post a Comment

 
Top