Kwenye friday nite live ya eatv, mwigizaji Wastara amezungumzia mahusiano yake na mwigizaji maarufu wa filamu Tanzania “Bondi” nakusema “Nikiwa karibu na mwanaume yeyote sasa watu huzusha maneno ila mimi na Bondi tunafanya kazi pamoja tu, ni manager wangu na husimamia kazi zangu, siwezi kufanya kila kitu mwenyewe”
Wastara yuko mbioni kuanza kufanya filamu mpya kuanzia leo Januari 5 2014, atakuwa kambini.
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu Facebook na KibonajoroFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment