Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
car-police_photo
Kukamatwa kwa jamaa aliyegonga ukuta wa Kituo cha Polisi akiwa anaendesha gari huenda ilikuwa moja ya kazi ambazo zilikuwa rahisi zaidi kwa Polisi wa kituo cha Frodsham, Uingereza.
Polisi wamesema jamaa huyo alikuwa amelewa, alipata ajali hiyo alipokuwa akitoka na gari yake katika eneo la Parking ambayo iko  jirani na kituo hicho, akapoteza mwelekeo na kugonga ukuta wa kituo hicho.
Polisi walimkamata na kugundua amelewa, akapandishwa kizimbani kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa.
Hakuna aliyeumia wala kujeruhiwa, ila gari na sehemu ya ukuta wa kituo hicho havikuwa na hali nzuri.
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu  Facebook na  Kibonajoro

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top