Ukahaba ni Biashara halali kabisaaaa katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo Ukahaba.
Hata hivyo jamii sasa imeanza kulalamika kwamba kutolewa ruhsa kufanya ukahaba kumeathiri maadili ya kijamii kwa sasa watoto chini ya umri wa miaka 18 wanaingilia biashara hii.
Mwadishi wa BBC mashariki mwa Congo, Byobe Malenga ametemebelea eneo la KIGE ni maarufu sana kwa baishara ya ukahaba.
Chanzo..BBC
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment