![]() |
Muigizaji Bongo Movie Kajala Masanja akiwa ameshikilia chupa moja ya Soda iliyoandikwa jina lake |
Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola.
Leo mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na kumpatia zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment