March 17, 2025 03:58:12 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
romy jones na mpezi wake tuerny


Penzi lilipo baina ya Dj wa msanii Diamond Platnumz, Romeo Jones na Tuerny ambaye anafanana sana na Wema Sepetu ni la wazi sana na imefikia hatua hata wao wenyewe kuachia picha zao wakiwa sehemu za faraga na hata zile za screen saver kama alichofanya Romeo kuweka picha ya mpenzi wake na kupost kwenye social networker.



romy jones na mpezi wake tuerny 

Picha yao iliyovuja wakiwa chumbani iko hapa chini 

romy jones na mpezi wake tuerny 

Wengi wamekuwa hawamfamu Tuerny lakini historia fupi ni kwamba miaka ya nyuma alikuwa mpenzi wa Romeo lakini alimwacha na kwenda kuolewa marekani ila haikuisha mwezi akaachika na kurudi bongo na alivyorudi bongo wakarudiana na mpenzi wake wa zamani Romeo jones na ushahidi wa video iko youtube iko hapa chini na kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa
Credit Kishymba.com

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
08 Jan 2015

Post a Comment

 
Top