March 18, 2025 07:05:15 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kuna ile tabia ya wizi wa mabegi ambao hutokea mtu akiwa safarini, zile za mtu kufungua begi lisilo lake, zote hizo dawa yake ni hii teknolojia ya eGeeTouch.

 Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone au gadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.

Kampuni iliyotengeneza kifaa hicho imesema imeamua kutengeneza kifaa hicho badala ya kufuli kwa kuwa kufuli inaonekana kama matumizi yake ni mtindo wa kizamani kwa wasafiri na pia hii huongeza  usalama zaidi.
Mtumiaji anayetumia lock hiyo lazima akumbuke alivyoswipe na iwe siri yake pia kama ilivyo kwa matumizi ya password, lock ina battery ambayo inakaa na chaji mpaka miaka mitatu, pia unaweza kuichaji kwa kutumia waya wa USB.

Unadhani hii kwa Bongo inaweza kusaidia? Cheki pichaz na Video halafu nitafurahi kama ukiniandikia chochote.


Hii ndio lock yenyewe ya eGeeTouch.


Nimekuwekea Video ya maelekezo ya lock hiyo inavyofanya kazi....BOFYA HAPA KUJIFUNZA ZAIDI

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
08 Jan 2015

Post a Comment

 
Top