“Hivi mashabiki zangu niwaulize swali!??? Hivi unapom-follow mtu ili uwe unamtukana TuuĂąu kila akipost picha yake?? Au unam-follow ili upate kuona anafanya nini?? Katika kazi , kiukweli mimi nakelekwa sana na baadhi ya mashabiki zangu naona kama wakuwa sio wazalendo kabisaaĂ kila ufanyalo yeye kwake anaona baya tu acheni roho za kwanini! Ukiona mtu kafanya vizuri msifie tu na kama unaona hajakufurahisha mwambie tu kwa uzuri kwani matusi hayajengi! “
Shilole aliendelea;
“Mimi kama msanii nategemea maoni yenu mazuri na sio matusi yenu tujaribu kuiga mifano kwa nchi za wenzetu wanapenda wasanii wao na kuwajali lakin huku sisi kutwa mnatuchamba loh! Na sisi pia wakati mwingine tunaumia na matusi yenu yasio na maana! But ukitaka kunitukna uwe na tusi jipya la 2015 yani unitukane huku unanipa PESA. Nawapenda sana team saport wasanii wa home kuweni na J2 njema”-Shilole alimaliza.
Ujumbe umefika, tubadilike jamani
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment