Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
EXCLUSIVE: Shakira and Gerard Pique strolling with baby Milan in Spain
Familia ya mwanasoka mahiri Gerard Pique na mkewe Shakira wamepata ugeni mpya ndani ya familia hiyo baada ya mwanamuziki huyo kujifungua mtoto wa pili wa kiume.

bal
Mtoto huyo aliyepewa jina la Sasha likiwa na maana ya Alexander kwa lugha yaKirussia, alizaliwa katika hospitali iliyopo katika mji wa Barcelona usiku wa kuamkia leo kwa njia ya upasuaji.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top