March 17, 2025 04:02:27 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Instagram‘Daktari:Jk muokoe Ray C’ ndio kichwa cha habari  cha magazeti iliyomtoa machoRehema Chalamila aka Ray C iliyoandikwa na gazeti liitwalo ‘Amani’ katika kurasa zake wa mbele.
kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram leo saa chache  zilizopita amepost picha ya gazeti lenye stori hiyo na kuandika; MLISEMA NITAKUFA BAADA YA SIKU 190 HAYA HATA BADO SIKU 
HAIJAFIKA MNAANDIKA TENA HUU UPUUZI, HIVI NYIE MNATAKA KUNIULIA MAMA YANGU JAMANI? HAYA SASA MAMA YANGU 
PRESHA JUU USO WOTE UMEMVIMBA SABABU YA PRESHA KISA HILI GAZETI LENU! MBONA HAMNIONEI HURUMA MWENZENU BADO 
HATA SIJAMALIZA MATIBABU MNAANZA KUNIOMBEA MABAYA! KAMA MNATAKA KUNIUA NITAFUTENI MNICHOME HATA KISU 
NIFIE MBALI LAKINI SI MAMA YANGU!! NAANDIKA HII MESEJI CHOZI LINANITOKA! NAWAOMBA MSINIULIE MAMA YANGU KWA 
PRESHA NA HIZI HABARI ZENU……
.MSINIOMBEE MABAYA MWENZENU NIMEPITIA KWENYE MTIHANI MGUMU SANA KWENYE MAISHA YANGU, KAMWE SITORUDI NYUMA, NAOMBA SAPOTI YENU….MSINIOMBEE MABAYA’ —- @rayc1982
.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
08 Jan 2015

Post a Comment

 
Top