
Kundi la uhalifu maarufu kama Panya Road limesababisha hali ya taharuki baada ya kuvamia maduka na nyumba kupora vitu mbalimbali eneo la Mwananyamala Jijini Dar es Salaam.
Pia taharuki yazidi baada kuvamia na kupora maeneo ya Sinza na Kinondoni polisi waingia kazini kukabiliana nao.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment