
Baada ya kuwepo kwa tetesi kwa kipindi kirefu kuhusiana na uhusiano hao, wawili jao jana waliamua kuweka hadharani kuwa si marafiki tu bali ni wapenzi.
Leo, Jux ametweet: Dongo kwa Diamond? Jux adai yeye na Vanessa hawafanyi project wala series!!

Nah project or series! We just the realest!
Post a Comment
Post a Comment