March 17, 2025 07:11:10 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’  na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu zisizojulikana na sasa kila mmoja  yupo bize na maisha yake.

Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’.
Baada ya kuzinyaka habari hizo paparazi wetu alimtafuta Nisha ili kuzungumzia habari hizo ambapo alikiri kwamba ni kweli wamemwagana.“Sababu za kuachana siwezi kuziweka wazi kwa sasa, niko kikazi zaidi mambo ya mapenzi nimeyaweka pembeni nataka nitimize malengo yangu ambayo hayakutimia mwaka jana,” alisema Nisha.
~GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
08 Jan 2015

Post a Comment

 
Top