Unafuatilia habari za burudani Tanzania, basi utakumbuka swali waliloulizwa P Square walivyokuja Tanzania kuhusu kumfahamu Diamond. Jibu lao lilitengeneza drama kwa mashabiki wa Platnumz.
PICHA: DIAMOND ALIVYOKUTANA NA P SQUARE NA FALLY IPUPA NCHINI NIGERIA!!!
Diamond kwa sasa yupo Nigeria kwaajili ya tuzo za Glo-CAf. Amekutana na mastaa tofauti na miongoni mwao ni Peter wa P Square na Fally Ipupa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment