Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Millard Ayo, jana alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kwenye party yake ndogo ambayo aliamua kuifanyia nyumba kwake, ni msichana mmoja tu special aliyepata nafasi exclusive ya kusherehekea naye – Jokate Mwegelo.
 
“This is what you do after you cook. You eat cake lol. Happy Birthday to the GREATEST to ever do it @millardayo,” alitweet Jokate.
 
Siku za hivi karibuni wawili hao wamekuwa wakidaiwa kuwa na uhusiano. Hata hivyo Jokate alikanusha.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
27 Jan 2015

Post a Comment

 
Top