Mtangazaji wa kipindi bora kabisa hapa nchi cha maswala ya filamu, kipindi cha “TAKEONE” kinachorushwa na kituo cha televisheni cha CLOUDSTV,
Zamaradi Mtetema, ambae pia ni muandaaji wa filamu, aliwauliza mashabiki wake kupitia mtandaoni kuwa asingekuwa mtangazaji wanahisi angefanya kazi gani, majibu ya baadhi ya watu ndio yamenifanya swali hili nililete tena hapa kwenu.
Mbali na watu kadhaa kusema angekuwa “MODO”,wengi walisema angekuwa mwanasheria, polisi au wakili....labda ni kutokana na maswali na ukosoaji wake!!! Mimi sijui, wewe je unahisi angekuwa nani, na kwanini?
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment