April 2, 2025 09:11:16 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van. 

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa tutakujuza.

ILA KWA SASA TUACHE PROJECT IENDELEE

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
09 Dec 2014

Post a Comment

 
Top