Home
»
Habari kitaifa
»
Matukio
» Picha: Sherehe za Miaka53 ya UHURU wa Tanganyika Zilivyofana jijini Dar
Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo.
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara CCM, Philip Mangula.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, akisalimiana na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.
Askari wa majeshi ya ulinzi na usalama wakitoa heshima kwa Rais Kikwete.
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye sherehe hizo.
RAIS Kikwete leo ameongoza sherehe za kuadhimisha miaka 53 tangu Tanzania Bara ipate uhuru wake Desemba 9 1961. Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali nchini na wawakilishi wa nchi za nje walioshuhudia burudani ya kwaya, gwaride, halaiki, ngoma za asili, sarakasi na michezo mingineyo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Picha Global
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Hivi Ndivyo Mabilioni ya Pesa Yalivyotafunwa NSSF Mpaka Kusababisha Wakurugenzi Sita Kutumbuliwa20 Jul 20160
UBADHIRIFU wa fedha na ukiukwaji wa taratibu na sheria katika usimamizi wa miradi kadhaa ya Shiri...Read more ?
- Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Yaongoza Kwa Mapenzi ya Jinsia Moja20 Jul 20160
Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia , watoto na wazee nchini z...Read more ?
- Serikali Yaamua Kuwarudisha Wanafunzi 382 kati ya 7805 Waliofukuzwa Chuo Kikuu cha Dodoma19 Jul 20160
May 28 2016 Serikali iliwarejesha nyumbani wanafunzi 7,805 waliokuwa wanasoma Stashahada Maalum ...Read more ?
- Bakwata Walaani Mauaji Ya Watu Watatu Msikitini Mwanza22 May 20160
Wakati Rais John Magufuli akitoa salamu za pole kwa wakazi wa jiji la Mwanza, kutokana n...Read more ?
- Wabunge Wampa Makavu Waziri Kitwanga Aliyetumbuliwa Jipu Kwa Ulevi22 May 20160
Siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga kutimuliwa nafasi hiyo kwa...Read more ?
- Dkt. Kingwangalla atumbua MAJIPU ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya18 Dec 20150
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla a...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment