Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Muunganiko wa wasanii watano wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Vanessa Mdee, Aika, Nahreel, Barnaba na AVID kwa pamoja wameamua kutoa video ya wimbo ‘WCD’ (Wave, Clap, Dance) ikiwa ni zawadi maalumu ya kufungia mwaka na kuukaribisha mwaka 2015. Video hii imeongozwa na Hanscana. Itazame hapa kama kifaa chako hakina uwezo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top