Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
akadumba 

Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya Akadumba, Wimbo wenye video mbili tofauti zilizomgharimu Nay zaidi ya Milioni 30 katika maandalizi ya video hizo. Hii ni moja ya video hizo iliyoongozwa na Kelvin Bosco Jnr wa Decent Media kutoka Kenya. kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top