March 19, 2025 09:05:24 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Black-Couple-in-Bed-PF
Jamaa mmoja alisababisha kizaazaa baada ya kuvamia chumbani ambako mtu na mkewe walikuwa wamelala.
Fununu zinasema jamaa huyo baada ya tukio hilo alimhoji mkewe kwamba huyo aliyeingia bila hodi chumbani kwao wakiwa wamelala ni nani?

Baada ya jamaa huyo, Calvin Murapata kutoridhishwa na majibu ya mke wake Nomagugu Ncube alimpiga na kumchania nguo, ambapo mwanamke huyo alifungua mashtaka kituo cha Polisi, Zimbabwe.
Mwanamke huyo aliwahi kushinda taji la mitindo katika nchi hiyo, amekiri kuwa na uhusiano na jamaa huyo aliyevamia chumbani humo kutokana na mume wake kuwa busy.
Ncube amefungua mashtaka kudai fidia ya nguo alizochaniwa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
12 Dec 2014

Post a Comment

 
Top