March 17, 2025 02:11:20 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

back
Mwanadada Rihanna ameendelea ‘kumake’ Headlines na safari hii ameweza kuonyesha uwajibikaji wake baada ya kufanya tamasha la kwanza kwa mwaka huu lililolenga kusaidia kuchangisha fedha kwa ajili yakusaidia jamii.
Katika tukio hilo muhimu na la kwanza ambalo lilijulikana kwa jina la Diamond Balllimemeweza kufanya vyema usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Beverly Hills,Carlifonia Marekani huku likihudhuriwa na mastaa mbalimbali.
stage
Akiwa amevalia gauni refu la hshima lililonakshiwa na mkufu wa silva wenye kito kinachofanana na rangi ya gauni sambamba na’makeup’
Onyesho hilo lililojulikana kama Diamond Ball lenye lengo kuinua mfuko wake wa Clara Lionel.
rr
Akiwa sambamba na mtangazaji wa shughuli hiyo Brand Pitt wageni waalikwa  walikua wakipata burudani mbalimbali za muziki pamoja na chakula ambapo dhumuni la shoo hiyo ilikua kuchangia fedha kwa ajili kusaidia familia zinazohitaji msaada katika masuala ya afya,elimu,sanaa pamoja na utamaduni.
hair
Baadhi ya mastaa wengine waliokuwepo usiku huo ni Kim Kardashian, Kris Jenner, Big Sean, Tyrese Gibson, Salma Hayek, Neyo, Fabolous, Kat Graham, Nikki Reed, Adrienne Bailon, Ellen Pompeo, Jimmy Kimmel na wengine wengi.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
12 Dec 2014

Post a Comment

 
Top