MSANII
wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kwamba
shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake
kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa naye.
Msanii wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na AT, Uingereza.
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa barani humo
anakoendelea kufanya shoo, Shilole alisema juhudi zake binafsi ndizo
zilizompa shoo huko na hakutafutiwa na mtu yeyote pia anamshukuru Mungu
kwani ameweza kuliteka soko la nje.
“Kiuno changu na muziki ninaoimba ndiyo umenifanya nikapata shoo za
Ulaya na juhudi zangu pia hapa nina shoo nne ambapo nitarudi Bongo
Desemba baada ya kuzimaliza,” alisema Shilole.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment