Kabla ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe’ kati ya Yanga na Simba mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wasanii wa filamu, Vicent ‘Ray’ Kigosi na JB walipinga yoyote atakayefungwa atavaa jezi ya mwenzake na kumkabidhi zawadi ya shilingi milioni 1.
Ray ambaye ni shabiki wa Yanga itambidi avae jezi ya Simba pamoja na kumkabidhi JB kiasi hicho cha fedha kutokana na makubaliano hayo baada ya Simba kuichapa Yanga mabao 2-0.
Kabla ya mechi kuanza JB aliandika kwenye Instagram kuwa:TUMEKUBALIANA na Ray thegreatest kuwa nikifungwa navaa jezi ya yanga na nampatia 1M.Na yanga ikifungwa anavaa jezi ya mnyama na ananipa1m.Naamini timu yangu haitaniangusha, winga okwi winga sserunkuma aaaaaah hata mimi nafunga.
Ungana nasi katika Facebook na Umechekeshwa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Alikiba Aelezea ‘King Kiba’ ilikotokea, Adai si Mtu wa Maringo09 Sep 20160
Alikiba ametoa ufafanuzi wa wapi #KingKiba ilitokea kiasi cha kuitumia katika sehemu nyingi.Akiong...Read more ?
- VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..09 Sep 20160
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa ...Read more ?
- Mr Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana08 Sep 20160
BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Princ...Read more ?
- Ray C aonyesha muonekano wake mpya.........Mashabiki Wampa Ushauri Mzito08 Sep 20160
Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameonyesha picha yake ya kwanza toka asaidiwe na jeshi ...Read more ?
- Maneno ya Orijino Comedy kwa Jeshi la Polisi Kuhusiana na Kuvaa Sare za polisi23 Aug 20160
Hivi karibuni kundi la sanaa ya uigizaji la Orijino komedi liliingia matatani baada ya J...Read more ?
- Hamisa Mobetto Aukata Mzizi wa Fitina kuhusu Tetesi za Kutoka na Diamond23 Aug 20160
Kwa muda sasa mlimbwende wa Tanzania, Hamisa Mobetto amekuwa akituhumiwa kutaka kumpindua Zari th...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment