March 27, 2025 06:43:28 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Siku Mbili zilizopita Mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan Alipost hiyo Picha kwenye mtandao wake wa Instagram  Kuandika:

 "People behind my winning, its out of love that i got to have all on my side. #idrisgivesback #africa1st #spreadinglove @banye_loverance @gladyzshao@hamisahmobetto @makeupbyjojo"

Post Hiyo Haikuchukuliwa Vizuri na Baadhi ya Mashabiki Wake Kwa Kudai Kuwa Hana Shukrani Kwani Ushindi Wake Umechangiwa na Watu Wengi Sana Kiasi Kwamba Watu Wengine Walikuwa Hawalali Wakipiga Campaign Kwenye Mitandao Kuhamasisha Watu Wampigie Kura Sasa Kitendo cha Kuwashukuru Watu Kadhaa na Kusema ndio Wamefanikisha Ushindi Wake ni Kukosa Shukrani kwa Watanzania na East Africa Kwa Ujumla...

Baadhi ya Comments za Watu zikimponda ni Hizi Hapa:


pexerboi
Ama kueli pata pesa tujue tabia zako.....1/2 a billion nd znakupa kibur mpka usahau walokufkisha apo.....nwey ni changamoto pia. Na nd tabia ya pesa..cha mcngi jifunze tu kuzifanya zizae wasje wakakucheka ukifulia koz wa2 wa chini nd ivoo uxha2chafua xo ha2takupokea ukiwa unarud chini zaid ya kukuacha upite..na kukunyoshea vidole@idrissultan



kuryanprincess
You are so ungrateful those people u mentioned above did not even put much effort in emphasizing people to vote for u do u know how much effort we put n how u r just making people famous ama kweli pata ela tujue tabia yako how comes u didn't thank them before BBA or u were communicating with them in the BBA House...u should thank the whole EA

guenwilliums
Kiukweli Idriss kwenye inter views sawa umewashukuru wote waliokupigia kura, ila hapo kwenye caption ungeandika KTU kingine sababu hapo imeonekana Kama hao tu ndo waliokufanikisha Sana kuliko wengine wakati kiuhalisia kuna watu wengi walijitoa hali Na Mali @idrissultan kibusara tu apologize watanzania Na fans wako wote East Africa watakuelewa am sure plz plz @idrissultan

habari_za_walimwengu
Watu wengi walijitoa muhanga kukupigia kura. Usitaje mmoja mmoja taja kwa jumla.


f1lady_hk
Mmh jamani this not fair kwa kweli. Watz walivyokuwa wanakupost kwenye account zao na kubekbeleza watu wakupigie kula uwiiiiiiii @usipojipangantakupanga @officialjestinageorgeblog @wemasepetu @diamondplatnumz @bigbrotherafrica_tanzania_fans @martinkadinda yaani ni wengi ni bora ungeshukuru Africa nzima. Mh hadi mobeto? Anyways none of my business. 

najipenda_
Mmm we @idrissultan huyo @hamisahmobetto sijawahi muona hata akikusupport siku moja kwa nini huyo rafiki yako asikwambie ukweli wa nani na nani kweli walikiwa nyuma ya campaign yako? Unajijengea chuki zisizo kuwa na msingi kwa watanzania walio kupigia kura kwa roho moja sababu ya hao watu ulisahahu hata kuwashukuru.
Ungana nasi katika  Facebook na Umechekeshwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
14 Dec 2014

Post a Comment

 
Top