April 3, 2025 02:18:24 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Happyz iiiWatanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014.
Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano hayo ameshare na sisi taarifa nyingine nzuri kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Happiness kaandika hivi; Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika. #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu“– @happinesswatimanywa
Happyz

Unaombwa Kupiga Kura Kwa Kupitia Smart Phone yako.....


Jinsi ya kuweza kuipata app ya kukuwezesha kupiga kura
1. Nenda kwenye play store au app store
2.andika MISS WORLD kisha download
Jinsi ya kupiga kura
1.ukishaidownload hiyo application, ifungue kisha chagua bendera ya kwanza kabisa kati ya bendera tatu zilizopo hapo
2.ikishafunguka itakuonyesha , masaa na siku zilizobaki za kupiga kura 
3.tafuta sehemu imeandikwa BROWSE CONTESTANTS click hapo
4.juu kabisa utaona sehemu ya kutafuta hapo andika TANZANIA
5.litakuja jina la nchi na mshiriki, chagua hapo 
6.kisha nenda sehemu imeandikwa ADD TO TOP 3, gusa hapo
7.chagua washiriki wengine wawili (pamoja na wa kwetu watakuwa ni wa 3) kisha utaweza kuvote.
NB: please over please msichague mshiriki ambae hapo juu anaonekana ni wa 50, 25 au 10. Mchague ambae hana kabisa namba iama vile british virgin, ecuador, denmark, latvia na wengineo.

Jinsi ya kupiga kura mara nyingi bila ya ku unistall application ya miss world
1.nenda kwenye setting ya simu yako
2.nenda kwenye application zako kisha ichague miss world
3. Nenda sehemu imeandikwa CLEAR DATA kisha ok
4.ukishakubali kufuta data za miss world application rudi kwenye application yenyewe na uweze ku VOTE tena na tena, tena na tena, tenaaaaaaa
NB:kila baada ya kuoiga kura rudi kwenye setting kisha clear data piga tena kura
Lets go Tanzania. LETS CHEAT AGAIN!
Ungana nasi katika Facebook na Umechekeshwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
14 Dec 2014

Post a Comment

 
Top