Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco
Fad Marlon Fad Mbay hyo jamaa kwnye video amwachie WCB maan hyo video nkama kuchanganya msiba na haruc mahar pamoja dhumuni la nymbo na video tofaut
Juma Sabuni Video mbaya kiukweli na ubaya wa video haieleweki yeye mwenyewe hajitambui mfano kipande cha kuongea na kioo ni pumba zaid mi nakubali audio kuliko video
Chrîss Jüniör yaan bora hata mbagala
Nurdeen Kipendo B:siikubali coz alichoimba na kwenye video tofauti kwa staili iyo hatangojea xna kwa dangote
Nick Mkali Wao Maudhui ya wimbo na video tofauti....video does not refrect an audio yaani ukiplay video afu ukazima sauti hupati picha kamili ya kinachoonekana na hata ukiunganisha matukio ya kwenye video bado hupati picha kamili kama inahusu MWANA.... Kucheza cheza barabarani na kukata viuno ndio audio ilichokuwa ikimaanisha au ? Amepoteza pesa tu za buree...Nibora angerudi kuektia KWAO KIGOMA
...
Chiwamba Songa Haimaanishi Script ya nyimbo iendane na Message 'hapana' ila kiukweli kabisa ukiachana na huo u-team KIBA! Script ya nyimbo yake mbovu kabisa! ila na yeye mwenyewe ukimwangalia tu unaona kabisa jamaa amepaniki, Location ndio imebeba video ila sio Script! ila tatizo litakuwa ni bajeti na Management, kwa mnaoufaham mzik mtakuwa mmenielewa nini nazungumza. siikubali
John Wambura Kapga wimbo wa taifa bar,alichoimba na video tofaut kabxa
LadyValentina Kabora video ilitakiwa hata kiziwi aelewe ama inawahusu wabongo tuuu tena ambao wanasikia. Ujumbe unatakiwa uwe effective wengne wameachwa nyuma. Sasa kilichobaki wengine tunawatafsiria marafiki zetu mwanzo mwisho kila kipande cha nyimbo... ndio nini sasa?
Emanuel Maina Kwa muonekano kwa maana ipo clear na views nzuri,ss issue ni haiendeni na anachoimba ,wimbo unachanganya frm thw start ye anatembea tembea tu ,in general ni mbovu na kauharibu wimbo
Duox Edward video ya kiba kuuza nje ni inshu coz hakuweza kuonesha uhalisia wa wimbo na vitendo ili hata kama mtu hajui lugha ni rahs ktambua maudhui ya wimbo kptia vitendoo.....xo ili kjenga mzk wa bongo lazma akbar kbadlika na apge kchupa kikal zaid.......sio unafk ni mtizamo tu.....cna team bt nashabikia mziki wwte mzriii.....plz kba change bro
Rashedi Said kiba hajuagi kutoa vidio nzur....mnaijua YAKARIMA ...?mliona ile vdo yani ni kituko ..mkmcfia tazidi kuaribu kila sku ...embu angalia vdo ya rich mavoko..acheni kimcfia mkosoeni ajifunze anawategemea nyie mkimkosoa ndo atafanya vzur xx kama mtu anaaribu mnmcfia ..nyimbo ya mwana inastori nzr xna lkn vidio haina stori
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Hivi Kwanini Baadhi ya Wanawake Wanajichubua Wawe Kama Wazungu?28 Jul 20150
Kuna jambo linanishangaza sana, ni hivi kwanini wanawake wa kibongo wanapenda kujichubua ngozi n...Read more ?
- Kidoa Ayasifia Makalio Yake, Ampa Makavu Agness Masogange22 May 20150
Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenz...Read more ?
- Kama Msichana Ushavuka Miaka 30 Bado Hujaolewa Jua Una Hali Mbaya01 Apr 20150
Kama wewe ni msichana na umeshavuka miaka 30 bado hujaolewa na wala huna mtu wa kueleweka ambaye ...Read more ?
- Bongo Movies Hili la Ukimwi Mlitazame Kwa Jicho la Tatu18 Mar 20150
Kwenu mastaa wa Bongo Movies, bila shaka mko poa na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Na...Read more ?
- Barua nzito kwa Wolper ikimshauri aachane na tabia ya kuwezeshwa kiuchumi na wanaume.25 Feb 20150
Muigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper. KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, J...Read more ?
- Zachembe! Nay wa Mitego Usipojipanga Tutakupanga!11 Feb 20150
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Emma...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment