Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kuna jambo linanishangaza sana, ni hivi kwanini wanawake wa kibongo wanapenda kujichubua ngozi na kutumia mikorogo,makalorite, hili wawe weupe na wafanane na wazungu.

Lakini sijawahi kumuona mwanamke wa kizungu akijichubua eti awe mweusi kama msichana wa Kiafrika.

Hivi kuna shida gani hapa wakuu?

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top