March 16, 2025 09:33:29 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye Agnes Gerald ‘Masogange,’ akimponda kuwa kalio lake siyo orijino kwani wakati mwingine hulijaladia.

Kidoa amesema amekuwa akimshangaa mrembo  huyo kwa kujianika mtandaoni akionekana ana kalio kubwa kumbe siyo orijino.
 
“Masogange cha mtoto kwangu, ni kweli kalio analo lakini siyo kubwa kama linavyoonekana kwenye picha anazopiga. Nasikia huwa anajaladia kwa kuvaa taiti zenye masponji, sasa atashindana na mimi?”alihoji Kidoa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
22 May 2015

Post a Comment

 
Top