Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu, Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome
kwa sababu wanamjengea hisia tofauti kwa watu wakati yeye hanufaiki na chochote.
“Kwa kweli inauma sana mtu kutumia jina langu kwenye mitandao halafu halitumii kwa uzuri, kazi ni kuomba pesa kwa watu mbalimbali, jamani mimi situmii mtandao wa Facebook kabisa kwa hiyo watu wawe makini,” alisema Masogange.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo...'Mwezi Huu Nguo Fupi za Kuwatega Wanaume Nimeziweka Pembeni'01 Jul 20150
Staa wa bongo movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa mfungo wa mwezi wa ramadhan...Read more ?
- Jingine Laibuka Kuhusu Rais wa FIFA..Kumbe Pia Alikuwa Anakula Demu wa Mchezaji Cristiano Ronaldo06 Jun 20150
Hali bado sio shwari kwa upande wa Rais wa FIFA, Sepp Blatter… Zimepita siku chache tu tangu atan...Read more ?
- Wellu Sengo Adaiwa Kutoka na Mume wa Mtu Mwigizaji Mwenzake Steven Nyerere02 May 20150
Mrekebishatabia wa Insta ameibua Mazito Kama ifuatavyoSaaaasa????? @stevenyerere2 ndo umeoa mke ...Read more ?
- Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’22 Apr 20150
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movie...Read more ?
- Kipa wa Simba JR MANYIKA 'Anae Sema Naima Ananiua Kiwango Aje Acheze yeye Mimi Sio Khanisi Nina Haki ya Kuwa na Mpenzi'21 Apr 20150
BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bar...Read more ?
- Mume wa Mtu Apiga Picha za Utupu na Mchepuko..Picha Zasambaa Mtandaoni07 Mar 20150
KALOLI Dawa ambaye ni mume wa mtu, amedaiwa kujipiga picha za utupu akiwa na mchepuko wake uliofa...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment