Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba amezindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live usiku wa kuamkia leo, hapa akiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
Wasanii wa Kaole wakiwa stejini
...Akiongea na wanahabari mara baada ya kuwasili Dar Live
...Akiwa katika picha ya pamoja na Kaone
...Akiongozwa na Meneja Mkuu wa Dar Live, Abdallah Mrisho kwenda meza kuu
Post a Comment
Post a Comment