Nimekutana nayo hii nikaona ni shee na wewe mtu wangu, hii imetokea kwenye moja ya shoo zake Davido baada ya mizuka kupanda na kuanza kula denda na shabiki mbele ya kadamnasi jukwaani tukio ambalo lilishangaza wengi.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment