Baada ya staa Amber Rose kumkatikia stejini msanii Chris Brown katika club moja na kuchukia picha za kimahaba akiwa na model lakin staa huyo hayupo tayari kuwa na mahasiano. Amber ambaye walichana kwa talaka na mpenzi wake wa zamani Wiz Khlaifa September mwaka huu ambayo ndoa yao ilidumu kwa muda wa mwaka mmoja sasa hivi karibuni kulikuwa na event ya HipHollywood ambapo kwenye red carpet alifanyiwa interview na maswali alilouliza na waandishi wa habari ni kitendo chake cha kumkatikia Chriss Brown na kupiga picha za kimahaba na model tofauti na alikuwa na haya ya kujibu
"I'm not thinking about that right now. If I’m not married to Wiz right now, I don’t want to be married. I don’t even want to date right now, I just want to get my heart back together.”
Hivyo hapa kazi iko kwa Wiz Khalifa tu kumrudia mpenzi wake lakin atafanikiwa wakati ameanza kucheza porn lol
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment