Mshindi wa BBA miaka ya Nyumba kutoka Namibia Dillish Mathews ambaye hivi karibu alifanikiwa kurudisha uhusiano wake na laiyekuwa mpenzi wake wa zamani anayejulikana kwa jina Stephen Gaeseb, baada ya kurudisha uhusiano wake amekuwa mtu mwenye furaha kupita kiasi na kila mara amekuwa akionekana katika miji mikubwa maarufu akionekana kula bata lakini kwa sasa yupo Nigeria na ameshare picha zake akiwa ndani ya kivazi cha bikini enjoy
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment