April 1, 2025 05:15:45 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Jokate Mwegelo akiwana mwakilishi kutoka kampuni ya Rainbow Shell ya China.

MWANAMITINDO anayefanya vizuri katika urembo ambaye hivi karibuni aliingia mkataba wa mabilioni na kampuni ya Rainbow Shell ya China, Jokate Mwegelo amesema katika harakati zake za kusaka mafanikio, hajawahi kukanyaga kwa waganga zaidi ya kumtegemea Mungu pekee.

Jokate ambaye brand yake inakwenda kwa jina la Kidoti alisema; “Ninatumia akili yangu pamoja na watu wangu kutoka crew yangu hadi hatua tuliyofikia, mambo yakiwa magumu namlilia Mungu kwa kusali kila siku kwa imani yangu huwa naamini naweza kushinda bila kwenda kwa mganga.”


Jokate Mwegelo akiwa na Bi. mkubwa wake muda mfupi mara baada ya kuingia ubia na kampuni ya China.

Binti huyo ni miongoni mwa wasichana wanaopata mafanikio kwa haraka na mmoja kati ya wabunifu wanaofanya vizuri. Wiki chache zijazo, bidhaa za kidoti zitakazotengenezwa na kampuni hiyo ya Wachina zitaanza kuuzwa sokoni.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
24 Dec 2014

Post a Comment

 
Top