Mara baada ya timu ya Simba kuibuka mtani JEMBE , baada ya hiil leo(jana) kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya Yanga, muigizaji wakike maarufu, Jackline Wolper aliweka picha hii matandaoni na alipoulizwa kuwa yeye ni mnyama ama la, Wolper alisema.
"Hayo Mavazi tuu mimi ni Yanga yanga yanga ..Yanga woyeeeee ..okey byee sema leo nilipenic sana".
Sasa jiulize maneno haya niyakweli au?!! Au ni Yanga Ukawa….Hehehe. Hongereni Simba na poleni sana mashabiki wa Yanga.
Ungana nasi katika Facebook na Umechekeshwa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment