Habari
ikufikie kutoka ndani ya jumba la Big Brother Africa #BBA9_Hotshots
kwamba November 30 2014, washiriki wengine Wanne wametolewa kwenye jumba
hilo na kufanya game iendelee kunoga.
Goitse mshiriki wa kutoka Botswana, Ellah mwakilishi kutoka Uganda, Sheillah mwakilishi wa Botswana na Trezagah kutoka Msumbiji ndio washiriki walioyaaga haya mashindano Novemba 30 2014.
Idadi
ya washiriki waliobakia ni nane tu akiwemo Idris kutoka Tanzania ambapo
kwa mujibu wa ukurasa wa Big Brother matumaini yaliyopo ni kwamba ikiwa
msimamo wa kura ukiendelea poa kama hali ilivyo huenda neema ikawa kwa
mshiriki huyo kurudi na ushindi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment