Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Davido


Kila dakika zinavyozidikwenda ndivyo watu wanavyozidi kutujua Tanzania kwa kuwa na vipaji baada ya uzia Msanii diamond kunyakua Tuzo takribani tatu kwenye mashindando ya yanaondeshwa na kituo cha  Channel O 2014 kutoka kule South Africa alizochukua Mtanzania Diamond Platnumz na baada ya hapo mabo yamehamia kwenye mitandao ya kijamii,kama ilivyozoeleka kuwa Nigeria ndio wanaotawala kwa kuchukua Tuzo nyingi lakin kwa mwaka Tuko Tanzania na South Africa tukiwa tunamiliki Tuzo tatu 

Baada ya ushindi huo hit maker wa single ya Aye Davido amempa pongeza msanii Diamond baada ya kufanikkiwa kuchukua tuzo hizo tatu siku ya juzi na aliandika hivi kupitia ukurasa wake wa Instagram

 


Davido ambaye siku ya juzi hakufanikiwa kunyakua tuzo hata moja 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top