Tumeona hii tabia kwa msanii Rihanna ambaye hupenda kubadilisha mitindo ya nywele na mashabiki zake kuifata kama ilivyo. Sasa imekuwa zamu ya msanii wa pop Justin Bieber.
Marafiki wa Justin Bieber waliweka dau na kumwambia athubutu kubadilisha nywele zake ziwe Blonde na baada ya dakika cheche jamaa kafanya kweli na kaipenda hio style.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment