Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
iphone-reset-instagram 
Love ya nguvu ambayo ipo kwa watu wa East Africa inaendelea kujidhihirisha ambapo siku ya leo staa wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone amekuwa moja ya mastaa kutoka nje ya Tz ambao wameonyesha love kubwa kwa kutoa support kwa mshiriki pekee wa Tz aliyebaki ndani ya Jumba la Big Brother Africa na kufanikiwa kuingia fainali pamoja na washiriki wengine 7 ambapo inafanya jumla ya washiriki walioingia final kuwa wanane tu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, staa Jose Chameleone ameandika hivi pamoja na kuweka picha ya Idris; “… Let’s VOTE for IDRIS Tanzania. The Victory Belongs to East Africa!!!! Let’s VOTE #BBA HOTSHOTS Legoooo…“– @jchameleone
Cham II
Cham I

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top