Huzuni na majonzi imetanda asubuhi hii katika mji wa Kahama baada ya bus la Wibonela Express linalofanya safari zake Kahama -Dar kupinduka baada ya kutoka Stand kuu ya Kahama kilomita chache kutoka stand katika eneo la Phantom na kuua watu wanne na watu wengi kujeruhiwa.
Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi ,huku ikitajwa kuwa dereva alishindwa kulihili basi hilo na kupinduka katika kona ya Phantom.
Taarifa zaidi tutakuletea hivi punde
ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA CHINI
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro



























Post a Comment
Post a Comment