Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Screen Shot 2014-11-12 at 11.14.35 AM
Jana Jumanne gazeti la Daily Telegraph liliandika habari ya kusisimua kutoka kwenye kitabu cha mwandishi wa SKY Sport Guillem Balague kiitwacho “MESSI”.


Katika kitabu hicho Balague ameandika kwamba:
“Ronaldo, labda ya kwa dalili za kuwa na akili za kitoto ambazo wanazo wacheza soka wengi, anadhani kwamba kuna ulazima kujitamba mbele ya wachezaji wenzie, akionyesha hamuogopi Messi na yupo tayari kushindana nae.
“Ndio maana, kwa mujibu wa baadhi ya wachezaji wa Real Madrid, CR7 amekuwa akimpa Messi majina ya ajabu kwa kumuita  ‘motherf—-r’; na pale anapomuona mchezaji yoyote wa Real Madrid akiongea na Leo Messi, basi nae huishia kumuita (tusi) ‘motherf—-r’.”


Taarifa hii ya Balague ilitengeneza vichwa vya habari vingi kwenye media na haikumchukua Ronaldo muda mrefu kujibu shutuma hizo kupitia mashabiki wake millioni 100 kwenye mtandao wa Facebook. Pamoja na kukanusha taarifa kumtukana Messi – Ronaldo amesisitiza kwamba amewapa wanasheria wake ruhusa ya kuchukua hatua za kisheria juuya mwandishi huyo, huku akisema kwamba anawaheshimu wanasoka wote na messi akiwemo
Screen Shot 2014-11-12 at 11.14.55 AM

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie habari Moja Kwa Moja ..Bofya  HAPA!..

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top