Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

queen darleen

Siku ya leo msanii Queen Darleen anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, tumebahatika kufanya nae mahojiano na tumemuuliza ni vitu gani hua anafanya siku kama ya leo na Queen alisema ” Siku kama ya leo inapofika saa 6 (Usiku) kama mwili wangu haupo msafi basi natia udhu  kisha naanza sala na kumuomba mwenyezi Mungu kwa sababu kuna kuugua na pia kuna kufakwa najaribu kumuomba mwenyezi Mungu anisaidie uhai mrefu”
Alipoulizwa kuhusu kama atafanya sherehe, Queen Darleen alisema ” Sijawahi kufanya sherehe mimi kama mimi lakini leo marafiki zangu wakina Mwasiti, Almasi, K Star Diamond kina shilole wote wameamua kunifanyia kitu hapa nyumbani kwangu kuanzia saa 2 usiku, mi sijui ni kitu gani watanifanyia. Kwa hiyo suprise lakini nimesema sitaki zawadi ya gari, nimeshampa warning kabisa Diamond”

Unaweza sikiliza mahojiano yetu na Queen Darleen kwa urefu zaidi hapa chiniii…. 


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top