Kijana
Sande Mrema aliyekuwa na tatizo la kuwa na kilo nyingi zilizokuwa
zikifikia 250 na umri wa miaka 25 amefariki dunia usiku wa saa nne
kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa mwandishi wetu wa ITV Sam
Mahela aliyekuwa akiripoti habari hii amesema kuwa Sande amefariki dunia
wakati bado taratibu za kuona ninamna gani atakavyoweza kupatiwa ndege
kwaajili yakwenda kupatiwa matibabu nchini india zilikuwa zikifanyika
miongoni mwa wanandugu.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment