Akiwa ndani ya kipindi cha XXL msanii Diamond ndiye aliekuwa jiwe la wiki wiki hii na track yake ya mdogo mdogo
Diamond amezungumzia mahusiano yake na Wema inavyoonekana hadi muda
huu bado ni kitendawili maanahakuna anaehitaji kuwema wazi kama
wameachana ama laa, kuachana kwo inasadikika kuwa kisa kikubwa ni kuwa
Wema alipopewa zawadi ya BMW na meneja wake wakati
huo huo kaka yetu Diamond aliagiza murano kwa
bishosti ilimuuma sana tena sana na hiko ndicho chanzo cha mahusiano yao
kuanza kubadilika.
Aliongeza pia juzi alikuwa SA kufanya video na Waje na kichupa
kitaachiwa soon. Ila kuhusu mahusiano yake na Zari the boss lady alidai
kuwa hana mahusiano na huyo mwanadada na alimkaribisha hapa Tz maana
inawezekana akaenda Uganda akamkosa Jose Chameleone akamtafuta Zar awe
mwenyeji wake maana Diamond ni mkarimu alifanya hivyo hata kwa davido
pia
Kuhusu video yake na nyimbo mpya ya Nitampata wapi alisema tu kama wewe mtu mzima utaelewa tu maana nyimbo imejieleza
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Diamond kuwania tuzo 5 za Afrima 2016, Alikiba na Yamoto Band moja08 Sep 20160
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima. Vipeng...Read more ?
- Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Gumzo......Kamwambia "Ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana"23 Jul 20160
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ujumbe wake mpya...Read more ?
- Bifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media23 May 20160
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadh...Read more ?
- Afande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe Matumizi Ya Bhangi02 Feb 20160
Msanii mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumiz...Read more ?
- Gari Jipya Analomiliki Masanja Mkandamizaji.10 Jan 20160
Msanii wa Vichekesho Anawakilisha kundi la Orijino Komedi anayejulikana kama Masanja Mkand...Read more ?
- Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi09 Jan 20160
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment